Lets Go Digital!
``A Data driven Africa``
OUR SERVICES
“Utunzaji wa pesa kwa njia za kizamani kama vile vibubu, chini ya vitanda na hata pia kuzifukia chini si salama kwani zinawaeza kupotea au kuharibika kwa wepesi zaidi”
“Nimepata kipato kwa kusafirisha mbolea ya wakulima kuelekea shambani nawashukuru”
“Ni ngumu kufanya malipo ya keshi, pia siyoslama hivyo kuweka akiba ili kununua pembejeo litakua jambo jema”
“Tumepata fursa ya kuwaelekeza wakulima namna na wakati sahihi wa kuweka mbolea.”
“Nimefurahi sana nimeweza kuja kuchukua mbolea pamoja na mwanangu kwa kua imeletwa karibu”